Diese Website verwendet Cookies. Cookies helfen uns bei der Bereitstellung unserer Dienste. Durch die Nutzung unserer Dienste erklären Sie sich damit einverstanden, dass wir Cookies setzen. Bei uns sind Ihre Daten sicher. Wir geben keine Ihrer Analyse- oder Kontaktdaten an Dritte weiter! Weiterführende Informationen erhalten Sie in der Datenschutzerklärung.
Tangu vita vya pili vya dunia. Taifa la USA limeibuka kuwa mamlaka ya ulimwengu. Ushahidi wa jambo hili ni kwamba katika kambi elfu moja (1000) za kijeshi zilizoko ulimwenguni, USA inatawala takriban asili mia tisini na tano (95%). KMarekani pia inatawala katika siasa za kiuchumi. Sio tu serikali ya Marekani lakini pia mabwanyenye wa kifedha wamejenga ufalme wa kidunia karne iliyopita. Hata hivyo, hili ni jambo lisiloonekana hadharani kwa uma. Licha ya hiyo, uwezo wake unazidiule wa marekani kwa umbali sana. Ufalme huu wa kifedha ambao unafanya kazi kisiri umejengwa katika nguzo tatu.
Nguzo ya kwanza ni mfumo wa benki kuu ya ulimwengu. Benki kuu zina jukumu la kuunda sera za kifedha katika taifa au sehemu yenye mataifa ambayo yanatumia sarafu zilizo sawa. Hivyo basi ni muhimu kuelewa kwamba, benki kuu karibu zote za ulimwengu sio taasisi za serikali bali ni benki zinazodhibitiwa kibinafsi.
Nguzo ya pili ni Mfuko wa Fedha wa Kimataifa IWF. Ila kwa nchi saba (pia pamoja na Cuba na Korea Kaskazini), nchi zote ulimwenguni ni wanachama wa IMF. Kwa sababu ya deni kubwa zaidi ya bajeti ya serikali ulimwenguni, nchi nyingi sasa zinategemea mkopo wa IWF. Huyu ndiye mkopeshaji pekee kwa nchi zilizo katika shida ya kifedha. Kupata mikopo hiyo, hata hivyo, IWF inalazimisha hatua kali za kudumisha ulipaji wa deni yenyewe na benki za kimataifa. Kufikia hii, inaingilia sana katika uhuru wa majimbo, na kuwafanya kupoteza uhuru wao wa kifedha, kiuchumi na kisiasa.
Nguzo ya tatu ya ufalme huu ni serikali ya Merika. Kulingana na ufunuo wa wakala wa zamani wa NSA John Perkins, sera ya Amerika hutumikia masilahi ya mashirika ya kimataifa.
Kwa hivyo, serikali ya Amerika ni mtaalam wa wasomi wa kifedha.
---
Sisi - wauaji wa kiuchumi - ndio tuliowajibika kuunda himaya ya kwanza ya ulimwengu. Na tunafanya kazi kwa njia nyingi tofauti.
Kwa kweli Iraq ni mfano kamili wa jinsi mfumo huu unavyofanya kazi. Hivyo basi sisi wauaji wa kiuchumi tulikuwa katika ulinzi wa kwanza. Tunaingia na tuna jaribu kuhonga serikali na kuwashawishi wapokee mikopo mikubwa ambayo baadaye, kimsingi tungeitumia kama mitego ili kuwamiliki. Iwapo tungeshindwa kama nilivyoshindwa kule Panama tukiwa naye Omar Torrijos na pia Ecuador tukiwa naye Jaime Roldos- ambao walikataa kuhongwa. Katika mstari wa pili wa ulinzi tuliwatuma mbweha ambao walipaswa kufanya mapinduzi ya hizi serikali au kuwaua viongozi wao wakuu. Na haya yote yalipofanyika na serikali mpya kuchukua usukani, bila shaka, serikali mpya iliyochukua usukani haikuwa na budi ila kushirikiana na sisi kwani Rais alijua ni kipi kingefanyika iwapo hangeshirikiana nasi. Mbinu hizi hata hivyo hazikufua dafu kule Iraq. Wauaji wa kiuchumi hawakuweza kumfikia Sadam Hussein. Tulijaribu sana. Tulijaribu Kumshawishi akubali mpango "deal" sawa na ile tuliyompa Mkuu wa Saudi Arabia lakini akakataa. Mbweha pia walijaribu kumfikia wamuue lakini ulinzi wake ulikuwa mkali sana kwa hivyo wakashindwa. Sadam aliku wa amelifanyia kazi shirika la CIA. Alikuwa amepewa kandarasi ya kumuua Rais wa awali wa Iraq na akashindwa kwa hivyo aliuelewa mfumo.
Hivyo basi mwaka wa 1991 tukalituma jeshi kulivamia jeshi la Iraq. Wakati huu tulidhani kwamba Sadam atajitokeza. Bila shaka tungeweza kumuua wakati huo lakini hatukutaka, kwa sababu tulijua tungehitaji kumtumia ili kudhibiti watu wake na hata mipaka ya nchi jirani kama vile Iran ili nasi tuzidi kufaidi kupitia mafuta ya Iraq. Tulijua ya kwamba kwa sababu tumelishinda jeshi lake angelijitokeza. Hivyo basi wauaji wa kiuchumi walirudi miaka hiyo ya tisini bila mafanikio. Iwapo wangefanikiwa bado angekuwa Rais na tungelikuwa tukimuuzia ujasusi wote angelihitaji. Lakini hawakufanikiwa. Mbweha pia hawakufanikiwa kumuua. Hivyo basi ilibidi tuyatume Majeshi tena na wakati huu tukafanikiwa kummaliza na hapo kujitengenezea kazi "deal" kubwa kubwa za mijengo ili kujenga nchi ambayo ni sisi wenyewe tulikuwa tumeibomoa. Hivyo basi Iraq ni mfano kamili wa jinsi tatu tunavyojijengea hizi falme. Wauaji wa kiuchumi waka shindwa. Mbweha wakashindwa na baadaye jeshi likafaulu. Na hivyo tulikuwa tumejiundia ufalme. Lakini tumeijifisha sana sana, hei onekani.
08.04.2020 | www.kla.tv/16091
Tangu vita vya pili vya dunia. Taifa la USA limeibuka kuwa mamlaka ya ulimwengu. Ushahidi wa jambo hili ni kwamba katika kambi elfu moja (1000) za kijeshi zilizoko ulimwenguni, USA inatawala takriban asili mia tisini na tano (95%). KMarekani pia inatawala katika siasa za kiuchumi. Sio tu serikali ya Marekani lakini pia mabwanyenye wa kifedha wamejenga ufalme wa kidunia karne iliyopita. Hata hivyo, hili ni jambo lisiloonekana hadharani kwa uma. Licha ya hiyo, uwezo wake unazidiule wa marekani kwa umbali sana. Ufalme huu wa kifedha ambao unafanya kazi kisiri umejengwa katika nguzo tatu. Nguzo ya kwanza ni mfumo wa benki kuu ya ulimwengu. Benki kuu zina jukumu la kuunda sera za kifedha katika taifa au sehemu yenye mataifa ambayo yanatumia sarafu zilizo sawa. Hivyo basi ni muhimu kuelewa kwamba, benki kuu karibu zote za ulimwengu sio taasisi za serikali bali ni benki zinazodhibitiwa kibinafsi. Nguzo ya pili ni Mfuko wa Fedha wa Kimataifa IWF. Ila kwa nchi saba (pia pamoja na Cuba na Korea Kaskazini), nchi zote ulimwenguni ni wanachama wa IMF. Kwa sababu ya deni kubwa zaidi ya bajeti ya serikali ulimwenguni, nchi nyingi sasa zinategemea mkopo wa IWF. Huyu ndiye mkopeshaji pekee kwa nchi zilizo katika shida ya kifedha. Kupata mikopo hiyo, hata hivyo, IWF inalazimisha hatua kali za kudumisha ulipaji wa deni yenyewe na benki za kimataifa. Kufikia hii, inaingilia sana katika uhuru wa majimbo, na kuwafanya kupoteza uhuru wao wa kifedha, kiuchumi na kisiasa. Nguzo ya tatu ya ufalme huu ni serikali ya Merika. Kulingana na ufunuo wa wakala wa zamani wa NSA John Perkins, sera ya Amerika hutumikia masilahi ya mashirika ya kimataifa. Kwa hivyo, serikali ya Amerika ni mtaalam wa wasomi wa kifedha. --- Sisi - wauaji wa kiuchumi - ndio tuliowajibika kuunda himaya ya kwanza ya ulimwengu. Na tunafanya kazi kwa njia nyingi tofauti. Kwa kweli Iraq ni mfano kamili wa jinsi mfumo huu unavyofanya kazi. Hivyo basi sisi wauaji wa kiuchumi tulikuwa katika ulinzi wa kwanza. Tunaingia na tuna jaribu kuhonga serikali na kuwashawishi wapokee mikopo mikubwa ambayo baadaye, kimsingi tungeitumia kama mitego ili kuwamiliki. Iwapo tungeshindwa kama nilivyoshindwa kule Panama tukiwa naye Omar Torrijos na pia Ecuador tukiwa naye Jaime Roldos- ambao walikataa kuhongwa. Katika mstari wa pili wa ulinzi tuliwatuma mbweha ambao walipaswa kufanya mapinduzi ya hizi serikali au kuwaua viongozi wao wakuu. Na haya yote yalipofanyika na serikali mpya kuchukua usukani, bila shaka, serikali mpya iliyochukua usukani haikuwa na budi ila kushirikiana na sisi kwani Rais alijua ni kipi kingefanyika iwapo hangeshirikiana nasi. Mbinu hizi hata hivyo hazikufua dafu kule Iraq. Wauaji wa kiuchumi hawakuweza kumfikia Sadam Hussein. Tulijaribu sana. Tulijaribu Kumshawishi akubali mpango "deal" sawa na ile tuliyompa Mkuu wa Saudi Arabia lakini akakataa. Mbweha pia walijaribu kumfikia wamuue lakini ulinzi wake ulikuwa mkali sana kwa hivyo wakashindwa. Sadam aliku wa amelifanyia kazi shirika la CIA. Alikuwa amepewa kandarasi ya kumuua Rais wa awali wa Iraq na akashindwa kwa hivyo aliuelewa mfumo. Hivyo basi mwaka wa 1991 tukalituma jeshi kulivamia jeshi la Iraq. Wakati huu tulidhani kwamba Sadam atajitokeza. Bila shaka tungeweza kumuua wakati huo lakini hatukutaka, kwa sababu tulijua tungehitaji kumtumia ili kudhibiti watu wake na hata mipaka ya nchi jirani kama vile Iran ili nasi tuzidi kufaidi kupitia mafuta ya Iraq. Tulijua ya kwamba kwa sababu tumelishinda jeshi lake angelijitokeza. Hivyo basi wauaji wa kiuchumi walirudi miaka hiyo ya tisini bila mafanikio. Iwapo wangefanikiwa bado angekuwa Rais na tungelikuwa tukimuuzia ujasusi wote angelihitaji. Lakini hawakufanikiwa. Mbweha pia hawakufanikiwa kumuua. Hivyo basi ilibidi tuyatume Majeshi tena na wakati huu tukafanikiwa kummaliza na hapo kujitengenezea kazi "deal" kubwa kubwa za mijengo ili kujenga nchi ambayo ni sisi wenyewe tulikuwa tumeibomoa. Hivyo basi Iraq ni mfano kamili wa jinsi tatu tunavyojijengea hizi falme. Wauaji wa kiuchumi waka shindwa. Mbweha wakashindwa na baadaye jeshi likafaulu. Na hivyo tulikuwa tumejiundia ufalme. Lakini tumeijifisha sana sana, hei onekani.
from hag.
https://michael-mannheimer.net/2019/01/31/komplette-liste-von-banken-im-besitz-und-unter-kontrolle-der-rothschilds
https://fassadenkratzer.wordpress.com/2015/02/20/die-raubzuge-des-iwf-in-europa/
https://fassadenkratzer.wordpress.com/2015/02/13/der-internationale-wahrungsfonds-iwf-und-die-ausbeutung-der-entwicklungslander
https://de.wikipedia.org/wiki/Internationaler_W%C3%A4hrungsfonds#Mitgliedstaaten
https://de.wikipedia.org/wiki/Mitgliedstaaten_der_Vereinten_Nationen
https://de.sputniknews.com/kommentare/20190721325476981-iwf-us-beziehung
https://alles-schallundrauch6.blogspot.com/2007/02/wirtschaftskiller-oder-wie-unterwerfe.html
http://alles-schallundrauch.blogspot.com/2007/04/der-wandel-in-sdamerika.html
https://www.youtube.com/watch?v=0Pn7qrl7NAA
https://www.focus.de/finanzen/news/das-netzwerk-der-macht-diese-konzernen-kontrollieren-die-welt_id_3929949.html
https://de.sott.net/article/15263-Was-haben-John-McCain-Arabischer-Fruhling-und-andere-Farbrevolutionen-miteinander-zu-tun